Follow us

WAJUEMASTAA WA KUCHUNGWA KARIAKOO DABI

Tangazo

 

WAJUEMASTAA WA KUCHUNGWA KARIAKOO DABI

JOTO kubwa kuelekea Kariakoo Dabi, Uwanja wa Mkapa linazidi kupanda ambapo Aprili 20 2024 itafahamika nani atakuwa nani baada ya dakika 90 kutokana na kazi kubwa ya mastaa wote kuwa kwenye msako wa pointi tatu muhimu. Hapa tunakuletea baadhi ya mastaa wa kuchungwa kuelekea Kariakoo dabi namna hii:-

Post a Comment

0 Comments